Njia za kupokea malipo ya mtandaoni Tanzania

Freelancing na kazi za mtandaoni zinakuwa kwa kasi sana nchini Tanzania na Afrika mashariki.Client kutoka nchi za Ulaya pamoja na marekani wamekuwa wakivutiwa kuajiri wafanyakazi kutoka Tanzania na Afrika Mashariki. Moja ya njia zinazotumiwa na waajiri hawa ni pamoja na kuajiri moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii kama vile Linkedin na X pamoja na […]